Kumbe tutamu bana....!!!!

nipo hapa nakula karanga za diamond getini kwa ali kiba huku nasikiliza zilipendwa kwa sauti ya juu
 
Sisi hapa moro tuna kula kitu toka Gairo mixer goma maana wanaziuza wa wadada ambao sio wachoyo kama unavyojuwa tena watani zangu Wakagulu .
 
nipo hapa nakula karanga za diamond getini kwa ali kiba huku nasikiliza zilipendwa kwa sauti ya juu
Ufananisho wa Kiba na Mond kisanii kwa sasa ni sawa na kumfananisha na mvulana wa mwaka wa kwanza wa shule ya upili ambaye ni Kiba na Kijana wa mwaka wa kwanza kwenye shahada ya Uzamili ambaye ni Mond!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…