Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,086
- 8,423
Wakuu nimefurahi na pia kushangaa kukuta product ya mama mtanzania kwa jina la Happy Ng... (Jina halisomeki vzr) hapa Gold Coast Qld katika conference ya watu zaid ya 200 from all over the globe.
Hakika huyu mama anastahili hongera sana, hii ni hatua kiasi fulani kwani ukiachia mbali kuitangaza nchi bali pia ni kuwa hata sisi TUNAWEZA!!
Ametengeneza mfuko ambao ndio washiriki wote wanapewa package ya conference! Baada ya kufungua ndio nikaona hiyo signature ya Tz, hongera sana mama Happy pole kwa kuugua lakini asante ila kama kuna watu waeza mshauri next time flier yake iwe bora zaidi kuliko hii ambayo haisomeki vzr