Ngoja Mkuu wao aione hii, utasikia wamefukuzwa kazi kwa kufanya masikhara wakati wa kazi na kulidhalilisha jeshi! Na huyu aliyewarekodi lazima atakuwa trafiki police mwenzao kwa jinsi anavyotoa maelezo kwamba ".... mkijiona mtacheka nyie..." Hii ni kutokana na mchezo waliokuwa wakiufanya barabarani wakati wa kazi.