No 2Kuna mwajiriwa ana two options
1. Kwenda kufanya kazi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya kitengo cha manunuzi
2. Kwenda kufanya kazi wizarani katika kitengo hicho hicho cha manunuzi.
Kwa uzoefu wako ungemshauri achague kwenda wapi kwenye manufaa zaidi ?
Nimepat TARI nishapeleka barua HEADQUARTERSUmeajiriwa TARI mkuu
.?
Hapo subiri tu barua ya ajira utajua tu.. ni kada ipi wewe..?Nimepat TARI nishapeleka barua HEADQUARTERS
Nasubr kupangiwa kituo cjajua wanalipaje degree
Hapo subiri tu appointment letter na mkataba wa kazi utajua mbivu na mbichi. Humu hakuna atakayekwambia ukweli.Nimepat TARI nishapeleka barua HEADQUARTERS
Nasubr kupangiwa kituo cjajua wanalipaje degree
Afisa hesab daraj la pilHapo subiri tu barua ya ajira utajua tu.. ni kada ipi wewe..?
Nipe connection mzeeNimepat TARI nishapeleka barua HEADQUARTERS
Nasubr kupangiwa kituo cjajua wanalipaje degree
Ohoooo kmbee ko kuripoti ni lini umeambiwa?Mm nimepat kupitia utumishi zile lga na mda oral nilfany april 5 ndan ya mwez mmoja nikawa placed
Weka scale zao basi tuzioneTFS nnawajua mm hawana scale hizo chief
Nmefanya nao kazi labda posho na madili mishahara ya kawaidaWeka scale zao basi tuzione
EWURA inasikika sana ila hiyo miamba mitano juu huwa haitajwi tajwi kivile.
1. EWURA
2. PURA
3. eGA
4. TCAA
5. TANROADS
6. MSD
Hawa atleast huwa wanatajwa tajwa. Ila refer ile list ya kwanza. Wote wapo njema
EWURA inasikika sana ila hiyo miamba mitano juu huwa haitajwi tajwi kivile.
1. EWURA
2. PURA
3. eGA
4. TCAA
5. TANROADS
6. MSD
Hawa atleast huwa wanatajwa tajwa. Ila refer ile list ya kwanza. Wote wapo njema
JulyOhoooo kmbee ko kuripoti ni lini umeambiwa?
Wakizitangaza lazima waombe tuTatizo watu wamekariri majina ya taasisi. TRA malaki ya watu walijitokeza kufanya usaili ila huwezi kusikia watu wakipanga foleni kuomba ajira ya hizi taasisi.
1. UCSAF
2.WCF
3.TASAC
4.LATRA
5.GBT
Najua hizo taasisi hazina majina makubwa kwenye masikio ya watu ila trust me wana maisha mazuri kuliko hao TRA, TPA, au BOT.