kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,460
- 4,167
Taasis zilizopo chini ya wizara ya maliasili. Sema watu wamefumba macho tuTatizo watu wamekariri majina ya taasisi. TRA malaki ya watu walijitokeza kufanya usaili ila huwezi kusikia watu wakipanga foleni kuomba ajira ya hizi taasisi.
1. UCSAF
2.WCF
3.TASAC
4.LATRA
5.GBT
Najua hizo taasisi hazina majina makubwa kwenye masikio ya watu ila trust me wana maisha mazuri kuliko hao TRA, TPA, au BOT.
Ndio hao 5.GBTKuna watu wanaitwa Gaming board.hao ni balaa na nusu
Sio zote mfano TTB kawaida sanaTaasis zilizopo chini ya wizara ya maliasili. Sema watu wamefumba macho tu
Ongeza na ewuraTatizo watu wamekariri majina ya taasisi. TRA malaki ya watu walijitokeza kufanya usaili ila huwezi kusikia watu wakipanga foleni kuomba ajira ya hizi taasisi.
1. UCSAF
2.WCF
3.TASAC
4.LATRA
5.GBT
Najua hizo taasisi hazina majina makubwa kwenye masikio ya watu ila trust me wana maisha mazuri kuliko hao TRA, TPA, au BOT.
EWURA inasikika sana ila hiyo miamba mitano juu huwa haitajwi tajwi kivile.Ongeza na ewura
Unaujua mfuko wa Pembejeo mkuu? Hatari huko.Mimi nizijuazo hazivumi ila wanalipana vizur ni hizi
Gaming board 2.5m
Board ya maziwa 2.5m
Board ya mkonge 2 0m
Umeajiriwa TARI mkuuVipkuhusuTARI wanalipaj
Ni connect nao mjomba 🤝 kama unamjua ata mmoja aliepo ukoKuna watu wanaitwa Gaming board.hao ni balaa na nusu
Kuna mwajiriwa ana two optionsMimi nizijuazo hazivumi ila wanalipana vizur ni hizi
Gaming board 2.5m
Board ya maziwa 2.5m
Board ya mkonge 2 0m