Kumbe Tanzania ilikosa uongozi thabiti

Kumbe Tanzania ilikosa uongozi thabiti

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Ni dhahiri shahiri bila chenga bila ya kutikisa masikio wala kupepesa macho, Tanzania ilikosa kabisa uongozi. Maana kila mahali uozo. Makampuni ya umma kama TRL mabehewa ya kubebea mafuta kabla ya kutumika yanavuja, yaani we acha tu... Utadhani nchi ndo kwanza inaanza kila kitu kipya. Aibu kwa wote waliokuwepo kabla ya awamu ya 5

JPM nenda kwenye swala la uingizaji wa mafuta diesel, petroli uone uozo

Mungu mbariki JPM
 
Ukweli umejulikana kwa mwezi mzma uozo huo
 
Kumbe wingi wa waheshimiwa hoja, hoja n kupata watendaji wa kweli wenye uthubutu wa dhazati we angalia rais,makamu wa rais, k/mkuu Kiongoz na w /mkuu tu goma linaenda ile 120 kwenye Kona shaaaaaa co mawaziri 60 na bado mwendo 25 kwenye kona unavuta handbrake
 
Kumbe wingi wa waheshimiwa hoja, hoja n kupata watendaji wa kweli wenye uthubutu wa dhazati we angalia rais,makamu wa rais, k/mkuu Kiongoz na w /mkuu tu goma linaenda ile 120 kwenye Kona shaaaaaa co mawaziri 60 na bado mwendo 25 kwenye kona unavuta handbrake


.... Hakuna cha semina ngurudoto wala nini ... Kazi inaenda na mawaziri watakaokuja atakayefanya ujinga palepale kuwajibishwa ... Ahadi ya JPM ni kulala nao mbele na mkataba wa uwajibikaji ni lazima
 
Duuu kama ni mchezo wa mpira wa miguu basi timu ya awamu ya 4 ilikuwa na shati tu pale golini badala ya kipa wa ukweli! Ndiyo mana imefungwa magoli meeeengi zaidi ya yale waliofungwa Timu ya Brazil na Ujerumani wakati wa kombe la Dunia 2014. Mchezo wao huu mbovu umesababisha Nchi kuwa na Majipu meeengi hadi jamaa anapata anatumia sana muda wake mwingi kuyatumbua.Na ninamshauri jamaa ajiwekee muda wa mwisho wa kutumbua majipu vinginevyo anaweza kujikuta miaka yake yote mitano anaitumia kutumbua majipu tu! Napendekeza mwisho wa kutumbua majipu uwe miezi mitatu tangu alipoapishwa.
 
Back
Top Bottom