Kumbe Tandale kuna mabinti warembo.

chifusongea

Senior Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
164
Reaction score
154
Leo nikiwa kariakoo nangoja daladala nikamwona binti mmoja shombe kwenye daladala iliyoandikwa ubungo au simu 1000.Basi ili nipate angalia namba nikapanda.kufika jangwani kinda anauliza jamani abiria anayeshuka hospitali asogee.ndiyo kumuuliza jirani yangu kwani hili daladala linaenda wapi?Akanijibu tandale.nataka kumwomba namba mrembo,dah kumbe yuko na mama yake na Dada yake kwenye daladala.Akanijibu hapa jau best mama na Dada watazingua.nilikuwa sijui hata tandale kuna watoto wa kike wakali wa kuoa kabisaa.mmmh.
 
Kwanini umestaajabu tandale kuwa na mabinti wazuri? Nini kinatofautisha tandale na sehemu zingine?
 
Hiki kituo kilshabadilishwa, au ni kipya? Sisi wengine tunaingia mujini kwa kuvizia tu.
 
kwa maana hiyo ulikuwa unadhani wanaoishi tandale wote ni wabaya...
 
Pole sana mkuu maeneo yote yana watoto wakali inayegemea unataka watoto wa waaina gani

Mimi naishi Kimara.Zamani kulikuwa na mabinti wengi wa kichaga wazuri kinoma.Ila sasa hivi humwoni hata mmoja.Hapa nilipo nataka nihamie Keko madukani nipate mtoto wa kipemba.
 
Ni kama huyu
 

Attachments

  • FB_IMG_1452889948870.jpg
    62.4 KB · Views: 76
  • FB_IMG_1452889948870.jpg
    62.4 KB · Views: 59
Ni kama huyu
Ila watandale wamekaa kunoganoga halafu very simple, utakuta kasuka twende kilioni halafu kavaa dira jepesi na lile jasho la dar ndani ana kyupi tu.. Unaweza kuangukia mtaroni lazma uwe na moyo mkuu
 
Kusema ukweli Sijaelewa
 
Tandale kwa kina Dimoondi..
 
Eeeh ni kweli kachanganya mambo atakuwa bado kabutwaaa...kesho lazima ataamkia Tandale.

Akaribie vizuri tutamkaribisha na miziki ya SIMBA aka Chibu.
Hahahhaa ila aangalie tu... Maaaana....!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…