masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,376
- 19,257
Masai unene na makalio ni vitu viwili tofauti kwa experience ndg niliyonayo. Unaweza ukawa mnene usiwe nayo na unaweza kuwa mwembamba pia ukawa nayo. Siri anayo mother nature!
wew ni huyu mwenye
Hahaha
haya bana yetu macho
Geuka ujiangalie..:becky:
aiseee HUU MWAKA WA WENTE TAKKO
MAY BE 2015 UPEPO UTATUGEUKIA VIMBAUMBAU
then...................
Happy birthday to you!
unakumbuka lakini siku yako ya kuzaliwa ni kesho?
nilitaka nije niku surprise kwa pm ila naona umebana kote kote. xoxoxo!!hivi ni kesho eeeh nilisahau majukumu yananizidi kimo thank you kwa wishes
nilitaka nije niku surprise kwa pm ila naona umebana kote kote. xoxoxo!!
hata hii ni suprise tosha thanks
itafunguliwa one day stay tunedutafunga window mpk lini?
Ifungue basi leo sita usiku mpk saba! Someone special will be in.itafunguliwa one day stay tuned
Ifungue basi leo sita usiku mpk saba! Someone special will be in.
Request granted.hahaha no is beyond my contol sifungui leo wala kesho