masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,811
- 16,852
Masai unene na makalio ni vitu viwili tofauti kwa experience ndg niliyonayo. Unaweza ukawa mnene usiwe nayo na unaweza kuwa mwembamba pia ukawa nayo. Siri anayo mother nature!
duuuh haya bana sisi wacha tuangalie wenye nayo tu