Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,335
- 72,799
Habari nilizopata jioni hii kutoka ndani kabisa ni kuwa issue ya matangazo ya TBC1 Bungeni imeletwa maksusi Leo kama mkakati maalumu wa kusahaulisha habari za Zanzibar na maamuzi ya maandamano yao.
Mnyetishaji huyo mwenye nafasi nyeti katika ngazi za maamuzi amesema serikali ilijua kuwa itakapo leta kauli hiyo ambayo hata wengi wa wabunge wa ccm hawaingi mkono, wale wa upinzani hawatakubali na pata chimbika na hiyo ndio itakuwa habari kuu kwa zaidi ya wiki.
Baada ya upepo huo kupita serikali itaangalia ichukue hatua gani katika jambo hill la matangazo.