Kumbe sisiem inamiliki ndege ?

mmmmh! rangi ya blue hapana! Nijuavyo mie ni ile ndege aina ya foca aliyopewa mwalimu kama zawadi mara tuliposhinda vita ya kagera alikipa chama(ccm) kwanza sijui iko wapi.
 
Lingekuwa lao, ccm ingeandikwa kwa kijani au njano; kwa vyovyote wasingetumia bluu
 
hiyo ni photoshop. angalia tofauti ya rangi na maandishi yalivyo pinda. mia
 
Ile ngoma inaitwa Charlie Charlie Mic (CCM) Bado ipo inachapa kazi kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…