Kumbe sina kabila

Point ni kwamba sina kabila dont care wapi nimetokea.
Safi sana! Ni vyema usiwe na dini pia kwa sababu hata dini utasikia dini ile ya makafir mara ile ya Al Shabaab mara ile nyingine ya mashoga nk! Makameeee, ushanifahamu?
 
Hqtq milq qmbqzo hazijapitwa na wakati nazo ni za kabila fulani
 
Safi sana! Ni vyema usiwe na dini pia kwa sababu hata dini utasikia dini ile ya makafir mara ile ya Al Shabaab mara ile nyingine ya mashoga nk! Makameeee, ushanifahamu?

Dini ni mpango wa Mungu na utaratibu wake upo ktk vitabu vitakatifu.
Pia mpango wa dini ni kumuongoza mwaadamu kutenda yalio mema.
 
Kujua Lugha ya wanatoka wazazi wako kuna ladha yake mkuu! Mi nimejikomboa sasa nafahamu lugha za asili walikotoka wazaz wangu,Nimekataa Utumwa Wa Kuongea lugha za Makabila ya Wengine.JIFUNZE na utaona ladha yake mkuu
 

Ngoja kwanza nitafute Makame ni kabila gani, nitarudi baadaye..........
 
Point ni kwamba sina kabila dont care wapi nimetokea.
Huwezi kukana kisichokuwepo,tuambie kabla hujaukana 'utambulisho wako' ulikuwa nani?
halafu mtu asiyejitambua na kujinasibisha na asli yake anakuwa mtumwa ,sijui wewe mwezetu utaishi kwa tamaduni ipi?maana ukisema sina kabila na kutumia kiswahili,hao waswahili wana makabila yao wanatamaduni zao,hulka na silka zao na utakapotumia lugha yao by default utaishi katika matendo ya kabila zao ,sasa hapo ndugu sijui utakuwa umekataa kuitw kabila fulani lakini unaishi maisha ya kabila hizo hizo !
 

Jitambue ndugu, unaweza ukawa na asili bila kabila. BINADAMU wa kwanza Adam alikua kabila gani?
KIMSINGI kama ni kabila basi wote tungekua na kabila lililotokana na yeye Adam.
 
punguza we mpemba wasiliana na babayako kwanza kabla kuja huku
 
kwa muji wa hoja zako zinazopelekea kukana ukabila haziwezi kukuweka huru kama unavyofikiri
mosi,hayo majivuno,ubahiri nk vitapatwa kusemwa tu kwako sababu unaendelea kuishi ndani ya makabila hayo.
Pili,unaepuka kutoa ng'ombe kwa ajili ya kuoa,utaoa mtoto wa nani bila kumtolea ng'ombe wakati mkana makabila upopeke yako,
tatu.huyo Adam na Hawa unayezungumzia unaweza kufuatili kizazi/uzao wake hadi hapa tulipofika ili uwe na ushawishi wa kutosha kututoa kwenye makabila?
 
Kwa tafsiri ya mawazo yako wasio na baba hawana makabila.

Ndo mana nakwambia punguza mimajani itakusaidia sana toka umeanza kupatwa nafahamu ushawahi kumuona mtu hana baba???????????? kinachotokea tu wewe humjui baba ake ila mama anamjua na anajua mwanae ni kabila gani kwa usahihi umeelewa ww mpemba pori
 
Mkuu, kwa ufupi kabila ni utaratibu wa maisha ya kikundi fulani cha watu walioamua kufanana kwa mambo kadhaa kama,mila,lugha,miiko,silka n.k. Kama ukijikubalisha kuishi ndani ya hayo wewe ndo twasema una kabila.
Ukiyakataa kama mimi hapa uko Free hakuna utakachopungukiwa mkuu.
 
Ndo mana nakwambia punguza mimajani itakusaidia sana toka umeanza kupatwa nafahamu ushawahi kumuona mtu hana baba???????????? kinachotokea tu wewe humjui baba ake ila mama anamjua na anajua mwanae ni kabila gani kwa usahihi umeelewa ww mpemba pori

Nijulishe baba yake YESU anaitwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…