Kumbe Rais Samia alilikataa neno "changamoto za kupumua" hospitali ya Mwananyamala

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
"Nilitembelea Hospitali ya Mwananyamala, kuna wodi daktari mfawidhi alikuwa ananiingiza akaniambia humu kuna wagonjwa wenye matatizo ya kupumua. Nikwambia kuwa muwazi, ni COVID[19] kasema, ndio, COVID. Nikawaambia wapigapicha wangu tokeni haraka."- Rais Samia Suluhu Hassan

My Take:
Kumbe yawezekana wataalamu wa afya walipewa maelekezo ya kutupiga "sound" toka mamlaka za juu.
Changamoto za upumuaji lilikuwa jina la kisiasa na mbadala wa neno UVIKO-19
 
Kipindi cha jiwe kila mtu alikuwa ni muoga tu sasa kama baraza la maaskofu tu leo umejionea jinsi walivyokuwa wana muogopa sembuse mtu baki tu?!!mfano leo unawasikia chama cha madaktari wanasema serikali iwe wazi juu ya covid 19!!kweli?!!ila daaa tulipatikana yaani sasa hivi kila sehemu ni kama vile ndio tumepata uhuru tena sio kutoka kwa wakoloni bali kwa FIRAUNI!!kwani kuna baadhi ya mambo mengi hata wakoloni walikuwa na utu, leo ukiangalia mijadala kwenye tv/radio , magazeti daaa!!!kwenye mahakama nako ni kicheko tu jamani, MUNGU FUNDI!!
 
Back
Top Bottom