Kumbe Puma Energy ni kampuni ya Serikali!

Kiukweli hili nilikuwa sijui kama Puma Energy inamilikiwa na serikali kwa namna yeyote ile. Ahsante sana serikali ya awamu ya 5!
Ownership and shareholders
Puma Energy is a privately owned company, providing us with the flexibility to react quickly to customers' needs. We have a special relationship with our two strategic partners and main shareholders - Trafigura Group and Sonangol Holdings. Although we operate at arm's-length from both, we benefit from their management expertise and market knowledge.
 
Yehodava atakujibu!
 
Ulikuwa hujazaliwa bado
Mkuu kama kitu hujui unapita kimya utajidharirisha bure! Fuatilia basi hata sababu za uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya Puma uweze kutoa tongotongo kidogo. Nyie ndio mnaomuingiza chska Tundu!!!
 
Kitaalamu inamaanisha serikali inamiliki zaidi ya hisa 50%
 
Mkuu kama kitu hujui unapita kimya utajidharirisha bure! Fuatilia basi hata sababu za uteuzi wa mwenyekiti wa bodi ya Puma uweze kutoa tongotongo kidogo. Nyie ndio mnaomuingiza chska Tundu!!!
Sasa hata nikikuelewesha huwezi kuelewa bosi
 
Kweli kabisa mkuu. Vilaza ni wengi sana uku kwenye uchumi na biashara uwakuti. Kazi wao kushangilia siasa za kipuuzi upuuzi tuuu zisizokuwa, na mbele wala nyuma
Tena Wengi wao maskini kama mimi tu. Anapata ela ya kula Leo ya kesho akatafute,ana upupu kibao kichwani.
 
Sasa kama serikali ina hisa 50% unasemaje tena kwamba siyo mmiliki?!!! Hapa tutahitaji faiza fox atukumbushe ule usemi wake!

Labda niseme hivi uelewe..serikali ina asilimia 50 ya hisa hapo na si 100 kwa hapa Tanzania tu.Ukisema wamiliki ni hawa the Singaporean Trafigura and the Angolan Sonangol Group.
 
hii ndoto uliiota muda gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INA MAANA MKUU WEWE KAZI YAKO USHABIKI TU? SASA KAMA VITU VIDOGO KAMA HVI HUVIJUI UNAJUA NIN SASA?
 
Labda niseme hivi uelewe..serikali ina asilimia 50 ya hisa hapo na si 100 kwa hapa Tanzania tu.Ukisema wamiliki ni hawa the Singaporean Trafigura and the Angolan Sonangol Group.
Sasa kama serikali haina umiliki kama unavyodai, kwanini Rais amemteua mwenyekiti wa bodi hatua itakafuatiwa na waziri kuteua wajumbe wa bodi ya Puma?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…