Kumbe NO REFORM NO ELECTION ulikuwa ni mtego ?

Kumbe NO REFORM NO ELECTION ulikuwa ni mtego ?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,563
Reaction score
57,888
Nimepewa taarifa muhimu na mtu muhimu Sana ndani ya TISS

Kwamba no reform no Election ulikuwa ni mtego kwa Samia baada ya kushauriwa apumzike 2025 kugombea.

Sasa anasema kweli kanasa kwenye mtego huo na jamaa anasisitiza Hana chake baada ya mwezi huu kuisha.

Anasema Lissu na Mange Sasa Tesha wanafanya kuipush ila ni agenda ya Taifa.

Anasema hakuna Polisi,TISS au JWTZ atazuia maandamano kaenda mbali kanishangaza baada ya kusema hata Polisi wanajeshi na TISS wanaweza kuandamana siku hiyo wakiwa wamevaa kiraia.

Taifa linakombolewa amkeni msilale ndani amesisitiza mkishndwa itabidi wamnani anasisitiza.
 
Kwa hiyo Tiss huyo kasema polepole yuko wapi kama anajua Ayo yote hawezi kushindwa kujua polepole yuko Sema hujui vyombo vya dola vya Tanzania vikuchakaza alafu vinajichunguza vyenyewe kungekuepo chombo huru cha kufungulia mashitaka vyombo vya dola maandamano yangekua rahisi kama kenya siku watanzania watatoka wenye bila hata Mange we subiri serikali iendelee kutotenda Haki neno Amani watanzania wameenda wanalistukia
 
Kila mtu humu JF ni TISS au anafahamiana na TISS 😂 ungese tuu
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama policcm hawatashiriki kuwadhuru waandamanaji. Kuhusu jeshi la wananchi, hawa sina hofu naoa hata kidogo. Maana wengi wao wanajitambua. Ila siyo policcm.
 
Nimepewa taarifa muhimu na mtu muhimu Sana ndani ya TISS

Kwamba no reform no Election ulikuwa ni mtego kwa Samia baada ya kushauriwa apumzike 2025 kugombea.

Sasa anasema kweli kanasa kwenye mtego huo na jamaa anasisitiza Hana chake baada ya mwezi huu kuisha.

Anasema Lissu na Mange Sasa Tesha wanafanya kuipush ila ni agenda ya Taifa.

Anasema hakuna Polisi,TISS au JWTZ atazuia maandamano kaenda mbali kanishangaza baada ya kusema hata Polisi wanajeshi na TISS wanaweza kuandamana siku hiyo wakiwa wamevaa kiraia.

Taifa linakombolewa amkeni msilale ndani amesisitiza mkishndwa itabidi wamnani anasisitiza.
Usichukue fomu, usichukue fomu....kachukua fomu. Usipige kampeni usipige kampeni...Anaendelea na kampeni...Sasa wanamtandao wanakuja na jipya...... Eti mtego..... Du! wasaniii hawakosi kujipongeza, Sasa nimeamini kuwa TZ kufa kwa preasure ni kujitakia.
 
Bila kutafuta dawa ya usaliti ni vigumu kuvuka "mto" maana mamba hawaeleweki!
 
Back
Top Bottom