Kumbe Ni Vocha tu Ndio Hazijapanda bei!!


alaa kumbe hata makampuni ya sm yanachakachua. Asante mkuu. Nitaanza kufuatilia kila ninapopiga sm.
 
Nauli bei juu, Baba V atatembea sana kutoka Lumo to kibaruani kwake

Aisee yaani Sumatra naona walinidhamiria mimi, nina mpango wa kuacha kazi au nihamie Tegeta. Hivi wapi wanakopesha pikipiki!? na masharti yake ni yepi!?
 
Last edited by a moderator:
Huku mtaani kwa kweli hali ni ngumu ajabu, kila kitu bei juu, vocha tu ndio bei ileile ya mwaka jana. Sijui wanatuvutia pumzi bado!!!
Kwani kinachouzwa ni vocha au muda wa hewani? vocha yawezakuwa 500 lakin muda wa hewani juu.
 
ah ah!
Hicho kinauzwa bei sawa na bure, nenda pale tunakopesha utakapata kwa mkopo.. Nawewe ujitesee huko makirikiri
Enhee kama hikcho kidogo, sijui vinauzwaje vile?? na mkopo je? nikikipata kama hicho kutoka Lumo hadi Makirikiri dakika tano tu, mbona watakoma....!!!
 
ah ah!
Hicho kinauzwa bei sawa na bure, nenda pale tunakopesha utakapata kwa mkopo.. Nawewe ujitesee huko makirikiri

Naenda aisee, afu nikikukuta na Navara yako lazima niku ovateki
 
ah ah! Hako utakua unakura na vichwa mara moja moja unapata na pesa ya mafuta.. muhimbili watu wanaopata ajali za piki piki nasikia hua wanawaka miguu, so usijaribu kuni overtake
Naenda aisee, afu nikikukuta na Navara yako lazima niku ovateki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…