Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

pascal Mayala tamthilia hii tamu kwa nini unataka iishe haraka.
Sio tunamkaanga Bashite tuu,bali na 'big brother aliyeko nyuma yake aupate huo moto
Kwa episode inayofuata nimesoma page moja FB itaendelea j2 hii kwa Gwajima
Stay tuned,si unajua ili nyama iive vizuri inachomwa kwa moto mdogo kwa muda mrefu
 
We Paskali (Njaa) usitu andikie makala tupe vyeti. Wacha maneno mengi pasipo na ref
 
umenisikitisha sana.kutokana na hiyo heading ya thread yako nilitarajia umefanya hiyo investigative reporting ili ujiridhishe na hii issue.
Pasco yule sio huyu wa sasa,hasa tangu siku ile ulipoambiwa maana ya jina lako ni NJAA.
 
Thread za Pascal Mayalla mwanajf unatakiwa uwe na muda wa kuzisoma kwa undani na kumuelewa vinginevyo unaweza kumtusi au kumpongeza kumbe hakumaanisha ulivyoelewa wewe! Hapa naona anaonyesha dira ya kupata ushahidi wa hili jambo, hana cha bahasha ya kaki wala nini! Tulieni msome kwa undani huu uzi
 
Sasa imeanza kuandika pumba na kujipendekeza umepewa tunajua.


Swissme
Njaa mbaya Dada, huyu siyo Pasco mfikirishaji ni Pasco mbabaishaji. Yaani yeye anawapa Kazi "wapiga filimbi" kufanya Kazi ya uchunguzi. Yaani wewe ni serikali unapewa taarifa ya uhalifu na msamalia mwema halafu unaanza kumlaumu kwa nini asianze yeye upelelezi, kisha akampekua kabisa mtuhumiwa na kumkuta na vielelezo ndo alete TAARIFA.?
 
Na wewe ni wa kupuuzwa, unachokitetea wewe umeshindwaje kuleta reference??

Nikuulize je Kihiyo alivyojiuzulu ubunge ilikuaje? Je hayo uliyoainisha yalifanywa..,
Au kwa sababu ya usukuma wenu...
 
Paskal. Wewe hujafanya yote hayo uliyoyasema lakini umehitimisha kwamba yanayosemwa juu ya mtu huyo ni uzushi. Je, hitimisho lako linatokana na nini? Remember in research or investigation conclusion comes from the interpreted data. Nafikiri ulipaswa uwe katikati kwamba ukweli au uongo wa yanayosemwa juu ya huyu mtu utapatikana kwa kufanya moja, mbili, tatu kama ulivyoainisha na siyo kuhitimisha kwa hisia kama ulivyofanya. Sasa wakifanya hayo uliyosema na ikaonekana ni kweli utaelewekaje?

Halafu, kwani kuna shida gani kwa mimi mtuhumiwa kuonyesha ukweli ulivyo? Mimi mtu akiwa na mashaka na nilikosoma na jina langu namtajia shule zote nilizosoma na jina nililotumia hadi ngazi ya elimu nilipofikia. Tatizo ni nini kuyaweka wazi hayo? Wewe paskal hujui shule ulizosoma na jina ulilotumia kwenye shule zote hizo? Ukiulizwa taarifa hizo utapata kigugumizi chochote?
 
Watu walosoma nae kabisa wanadai sio jina lake. Mwenyewe sikuwa naamini ila sasa naamini.

Pia ni kosa kusema ni uongo wakati wewe mwenyewe hujafanya uchunguzi. Kwa taaluma yako ni rahisi kufika katika hayo maeneo yote kwani umekuwa ukijinadi kuwa ni mwandishi wa habari za kiuchunguzi.

Mwandishi tena binafsi wa habari za kiuchunguzi unashindwaje kufuatilia suala kama hili?

Naanza kuamini kuwa watanzania tunateteana kwa makabila yetu, vyama vyetu na hata dini zetu.
 
Halafu anaposema declaration of interest na kutaja uandishi ni mwongo anazuga, declare interest ya UKABILA tutakuelewa.
 
Boss Pascal Mayalla siku hizi umeamua makala zako uziandike "Kinyume Nyume". Msg Send and Delivered.
Ataa Mimi nimependa sana huu ugunduzi Wa uandishi Wa Pascal .huu uandishi ameuanzisha at the very right time .ndio unatakiwa utumike sasa hivi mpaka mwezi juni 2020.haya waandishi wote zana hiyo yakutumia hiyo kufikisha ujumbe na kubaki salama mpaka kipindi cha baba yule kiishe.kwa Maelezo zaidi muoneni Nguli Pascal Mayala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…