Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Naposemaga waandishi wa habari wa Tanzania ni form four failure huwa mnakataa...paschal Mayalla ni moja ya akina Bashite.

Leo nimegundua zaidi kua Paschal ni mchumia tumbo kama Lizaboni na hana lolote kichwani. Nlitegemea unakuja na facts zinazopinga kauli za Gwajima na sisi wengine kumbe unakuja na porojo tu bila evidence yoyote.

Mda Si mrefu utaumbuka wewe na njaa zako. Time will tell. Soon ntaanza kuisaka CV yako maana u mmoja ya waandishi hopeless chini ya jua
 
Kazi kweli kweli....Nakumbuka JPM alianza kwa kusisitiza kwamba kuna unafiki na wanafiki wengi...
 
Asante kwa kupoteza muda muda kuandika pumba....
Sijaona hoja ya msingi hapo
 
 
Kwa nini hao watu wa maadili wangoje mtu apeleke rasmi ofisini kwao malalamiko !?

Kweli tume ya maadili iko kwa faida ya taifa au kulinda watu Fulani ?

Wanashindwa nini serikali kumfuata Gwajima ambaye hajajificha na audio iko mitandaoni ?
 
Pascal unauza au unajiuza kwenye taaluma yako? Nataka kukuthibitishia Bashite hatomuacha Magu salama. Azibe masikio pua na macho ila Bashite atamuacha vipande vipande. Reff Muhongo alipo jiuzulu kama ilikuwa nia yake au laa. Nguvu ya umma inauwezo kumuondoa na Magu hicho ndicho anakitaka japo akisoma alama atamtumbuwa haraka kabla ya nguvu ya umma.
 
sio bure umelipwa au ubatafuta kiki we. uandishi wa kiuchunguzi ndio huu ambao hauna hats fact. nimekutoa maksi bure
 
Wabaya woote wakitumbuliwa Cdm inapinga
Wakiachwa cdm
Ina lialia!!
Kuna chama na Vituko Tanzania

Hili la vyeti halina chama hata serikali inavyohakiki haingalii cha chadema Cuf wala ccm,tusitoke kwenye reli
 

Kisha mwambie habari ya Mama Salma kuwa Mbunge tutaanza kuijadili mwezi wa 7 huko, ila kwa sasa tunazima nae yeye mwanzo mwisho...
 
Nimeipenda
 
Mtu akimtetea Makonda kapewa hela GSM na nyinyi mnaomponda mpewa hela Gwajima Manji na Mbowe????
 
Long may he reign Paul Makonda! Na rais wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuli!
 
Ukweli ndo huo pascal kasema bado wapoyoyo wataendelea kulalama, hata kama rc angetoa vyeti bado mlikuwa na majibu tayar ya kugeuza ukweli kwa kusema"""" amefoji tu"""""" ndo maana bwana kaka akaamua kuwa kimya
 
Alitumbuliwa waziri na Mke wa prime minister mstaafu iweje makonda!!?? Ni kweli kama Taiga tunapaswa kuachana na mambo ambayo hayana msingi yakijinga kama haya ya uzushi tena yaliyoibuka baada ya makonda kutangaza vita dhidi ya wahusika wa ngada...hii vita ni ngumu mnoo...big up Mayala kwa kutokua mnafiki
 
Mkuu Hauwezi kueleweka kwa kuimba ngonjera pambio lako mpelekee Mpoto aboreshe itakuwa vema.
 
Makonda kuwa alifoji vyeti siyo issue ya Leo ilishawahi kuandikwa na gazeti la mawio 2014 tumia akili zako vizuri au subiri makonda aje akanushe mwenyewe asipo kanusha ni Ukweli.
 
Shikamoo Kipanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…