Kumbe ni nyumba tu na wanyama.

Kuna sura ya mtu,nyumba,kondoo,mtoto kaegemea kwenye mti hapo pembeni ya kondoo wawili na anafanana na nanihii!!
 
Kuna sura ya mtu,nyumba,kondoo,mtoto kaegemea kwenye mti hapo pembeni ya kondoo wawili na anafanana na nanihii!!
yWow,itabidi nikufate uninong'oneze mwaya uniambie anafanana na nini mamitto...lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…