Kumbe ni fahari ya Kenya?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12541098_477063522497832_3119580354020816781_n.jpg
 
Hapo mi nadhani wametumia uzalendo wa kiafrika zaidi na si kwa lengo baya...
Nakumbuka hata KLM wakati fulani kuna ndege yao moja (B777) iliyokuwa ikija huku bongo waliipa jina la "Serengeti"
 
Wanasemaga fly with kenya aiways to see mt kilimakyaro.... Pia kuna lile tangazo lao hta kwenye coke studio likikuwa linarushwa utajionea jins walivopromote as if...
 
Kama dhahabu unachezea bao, kwanini anayejua thamani yake asikuletee gololi kisha yeye achukue dhahabu na kuipeleka sokoni?

Nawaza tu kwa sauti...
 
Kama dhahabu unachezea bao, kwanini anayejua thamani yake asikuletee gololi kisha yeye achukue dhahabu na kuipeleka sokoni?

Nawaza tu kwa sauti...
Ha ha haaaa umewaza vizuri hata mimi nimekusikia mkuu ila huo ndo ukweli
 
Ha ha haaaa umewaza vizuri hata mimi nimekusikia mkuu ila huo ndo ukweli

Kweli mkuu.

Haya mambo ndiyo yanayofanya wazungu huamua kujitwalia "maujiko", Johannes Rebmann na

mwenzake Johann Ludwig Krapf, kujitangazakwamba wamegundua Mlima Kilimanjaro wakati amewakuta

wenyeji hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom