woga na hofu ambayo wanaume tunaipata tunapoambiwa wapenzi wetu wameshika mimba ungekuwa tunaupata kabla ya kufanya mapenzi na hao wapenzi wetu, walahi masafa mtume, mahusiano yangekuwa matamu kweli, lakini wapi bwana. Mwanamke atakavyogeuziwa kibao, hata hawezi kuamini kama huyu ndo yule mwanaumme alokuwa akimsifia kwa maneno matamu tamu na miungurumo ya ajabu ajabu kunako sita kwa sita.