Kwa lugha ya kiaskari zaidi naomba niseme hiviiii
"serengeti jeshini ni morale tuuuu"


Wanaangushia sanaa.. Chakula za wakubwaaa mkuu!! Kuna Matron flani aliajiriwa kambi flani nilikuwa kama Ngurutu aisee alikuwa mweupe mzuri balaaaa... Sasa sijui alifanya kosa gani akawekwa Mahabusu aliliaa balaaaa...


Maana mahabusu ilikuwa Getini tunapoingia kambini so tulimuonaa...nilishangaa snaaaInasemakana HivyoMgeni huwezi oa?