Kumbe ndio maana CHADEMA haikui na haitakua kamwe miaka yote itakuwa sawa na KUPWA na KUJAA

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Nashawishika kusema CHADEMA si chama cha siasa bali ni kikundi cha watumia fursa , ni kikundi kilicho beba watu wenye kutafuta fursa , wasio na maono ya mbali , wenye dhiki kuu iliyo tukuka ,

CHADEMA imebeba watu wenye fikra ndogo walio wengi kuliko wenye mawazo mapana ambao ni wachache sana tena wapo kwa idadi kamili

CHDEMA haina watu ina viatu ambavyo huvaliwa ili kusaidia mtembeaji asiumie unyayo wake na miba

CHADEMA inatia huruma kuu, ikiwa mtu anadiriku kuchia dhamana aliyo pewa na wananchi tena kwa machozi na wakati mwingine damu , anaachia dhamana aliyo ipambania kwa damu na nyama

CHADEMA mnawadhulumu wananchi haki yao , tena haki waliyo ipigania kwa jasho, na imani waliyo iweka kwenu, leo mnawaacha wameduwaa , mmewatelekeza walipo waamini , mda wao umepotea bure, ni bora wasinge husika kuwachagueni ninyi hakika mnawadharau wananchi, manitia hasara serikali

CHADEMA iondoshwe ,iondoke ifutike kabisa isionekane tena ulingoni , hasara hii imetosha madiwani wanaondoka ' wabunge wanaondoka nini msimamo wenu?? Nani chanzo cha haya? Tatizo ninini?

CHADEMA , hamjajua kuchagua wagombea? Hamjajua kuwatambua mamluki,au ,mnaokoteza kila ajaye , hakika mnalitia hasara taifa CHADEMA muondoke.

CHADEMA , taifa halija tengamaa kiuchumi , taifa bado lina dhiki thiki inayo fanya mambo mengine yasiende hamna huruma CHADEMA pesa za kurudia uchaguzi huo unao tokana na watu wenu wa ajabu katika kata na majimbo haiwaumi CHADEMA ?

Kwani mkienda vijijini mkakuta mama kajifia na mwanae tumboni kwa kukosa huduma ya afya karibu ,mwana funzi ana kaa chini ya mti kwa kukosa darasa ,mwalimu anaishi nyumba za makuti tena kwa kulipa kodi shule hazina nyumba hayo hayawaumi CHADEMA? mnakubali kweli pesa iende tena kugharamia uchaguzi kwa sababu tu mnawaweka watu wasio jua wajibu wao na thamani ya nafasi walizo nazo??

Yes! Tuhisi wamehongwa , ama vinginevyo vyovyote je? Kwa nini wawe wao tuu? Inamana wana njaa sana wanakisa nini huko chamani, au tamaa ya pesa nyingi ninini tatizo??kwa nini wawe na tamaa? Jee ni hulka ya chama chenu? Mnalitia hasara taifa CHADEMA

CHADEMA hamuoni huruma kina mama vijijini huko wana kunywa ,aji ya madimbwi pamoja na ng'ombe na punda na fisi hawana namna wanakunywa tu na hasa kwa sababu wameyafuata umbali mrefu sana hawana namna , kweli mnaona bora kuingiza pesa kwenye uchaguzi mpya tena wa kijinga kwa sababu tu mnaweka watu wasio jua wajibu wao kwa wananch

CHADEMA kwanini mnatuwekea watu na wagombea wasio jua wanamtumikia nani?? Kwanini mnaweka watu wenyw elimu ndogo ya uraia inamana chadema imejaa wajinga ,? Yes imejaa wajinga maana hawajui wanamtumikia nani ama wananchi ama serikali hawajui maskini! CHADEMA imejaa vilaza hakika.

UWEPO WA CHADEMA NI HASARA KWA TAIFA HAKIKA IFUTWE IPOTEE KABISA HUENDA MIPANGO IKAPANGIKA,

Copy & paste
 
Kama wananunuliwa, kwanini uilaumu cdm badala ya wanaojiuza na wanunuzi?!
 
Hivi aliyekataa wagombea huru wasiwepo ni CHADEMA au ccm?! Kizazi cha waganga kuwaza kwa haki itakuwa muujiza.
 
Yaani CHADEMA wanasajiri wati wanaonunulika, na wakinunulika wanalaumu anayewanunua.
Huu ni ukwepaji wa KUWAJIBIKA wa kiwango cha juu.
 
Ungekuwa na akili tungezungumza lkn bahati mbaya ww ni punguani tinawezaje kuongea lkn nikusaidie toka cdm imeanzishwa lini ilishuka kiwango cfm imeaanza na wabunge kama sikosei 2 mpaka leo inawabunge 70 lini chadema ilishuka? Nyang'au mkubwa ww.
 
Wanaogopa Mabunduki ya kivita kulenga raia wema kufuatwa majumbani na Manissan meupe mchana kisa kukosa. Wanazani wakiungana na dictator watakuwa salama.

Huyo wanaye mfuata kumuunga mkono haoni hizo gharama? Kwa nini asiwaambie niungeni mkono mkiwa huko huko ktk vyama vyenu mpaka mmalize muda wenu wa ubunge? Bila shaka anfurahia na ndiye anaye hamasisha hiyo rushwa.
 
Kama wananunuliwa, kwanini uilaumu cdm badala ya wanaojiuza na wanunuzi?!
Hapo kuna mtongozaji na mtongozwaji na mara nying mtongozaji hujivunia ushind wa kutongoza na kukubaliwa maana yake madhaifu makubwa ni kwa mtongozwaji yaani ni sawa na mwanamke halaumiwi kwa kutongozwa bali kwa kumkubali kila anaye mtongoza nahii inamaanisha kuwa ,msichana huyo ni malaya na hajitambui thamani yake ndio maana kila anaye mtongoza anakubaliwa hivyo mtongozaji ni HERO na mtongozwaji ni LOOSER nadhan umenipata kisawasawa
 
Ungekuwa na akili tungezungumza lkn bahati mbaya ww ni punguani tinawezaje kuongea lkn nikusaidie toka cdm imeanzishwa lini ilishuka kiwango cfm imeaanza na wabunge kama sikosei 2 mpaka leo inawabunge 70 lini chadema ilishuka? Nyang'au mkubwa ww.
Nina akili nadhan kukuzidi mara 1000 na ndio maana hata wewe umetoka kapa.
 
Huna ndg huna akili hata kidogo ni ziro toa tathimini lini cdm ilishuka kama toka mwanzo inapanda?hapo ndipo upumbavu wako ulipo hujui leo wala kesho
Mkuu nina akili nzuri sana kukuzidi tafadhari soma vyema andiko langu tuliza akili yako usiwe mwepesi kiasi hicho kichwa changu nakiamin sifugii nywele pekee,angalia maana na wewe utakuwa kundi sawa na hao wana litia hasara taifa
 
Aisimuliaye mvua IMEMNYEA! Mbona usihoji stability na integrity ya vyama vingine vya upinzani ambavyo hadi tumeshafika mahala pa kudhani havipo? Unajua tuna vyama vingapi vya siasa hapa nchini?
 
Mkuu nina akili nzuri sana kukuzidi tafadhari soma vyema andiko langu tuliza akili yako usiwe mwepesi kiasi hicho kichwa changu nakiamin sifugii nywele pekee,angalia maana na wewe utakuwa kundi sawa na hao wana litia hasara taifa
Ww wasema ikiwa wajua nini maneno yako
 
Back
Top Bottom