Sasa wewe umekuja na mchango wa Ajabu kabisa.... Toka lini Serikali ikakosa kumsafirisha Afisa wake kwenda kwenye eneo lake la kazi? na toka lini nchi imeenda miaka yote Madaktari wameshindwa fanya kazi kisa nyumba za serikali hamna? kasome vizuri salary slip ndio utaelewa nini kimeandikwa humo.... na majibu yote utapata hapa hamna lolote zaidi kinachotetewa na nape ni posho za vikao tu... Nenda kwenye report ya ma auditor kama utakuta mfanyakazi aliyekosa kwenda sehemu ya kazi aliyopangiwa au kutumwa hesabu zipo perfect na hamna aliyerudisha change..... Mimi nipo makini na ninachokiandika sina blah blah na usijedhania sielewi mada nipo njema na najua kinachokusudiwa ni Posho tu na usijesita kunifahamisha jibu halisi ukishapata...[/ niongezee kidogo huenda ukanielewa, unafahamu hawa jamaa wanaitwa agricultural field officers? hawa ni wataalamu wa kilimo ambao ndio wapo karibu kabisa na mkulima, sasa ikiwa utamtaka amtembelee mkulima shambani kumpa ushauri na huku unajua anahudumia kata nzima na wala hukumpa usafiri, unategemea awafikieje wakulima?? utawezaje kumuwajibisha ikiwa ata feli kuwafikia wakulima wake kwa wakati? au unataka kusema agricultural field officers wote wana usafiri??? labda huenda kidogo ukapata picha kinachozungumziwa na Nape, usiniambie wana usafiri hali yakuwa tunawaona wanavyoteseka kutembelea ma baiskeli tena umbali mrefu.... kwa mazingira haya kilimo hakiwezi kwenda juu kama tunavyodhani..