Judgement acha uongo labda una kamchina mie mbona napata na tigo
aah yeye kasema alizoea kutumia voda labda umshauri sasa atumie hiyo tigo
mkuu kila la kheri huko ughaibuni
karibu JF uendelee kupata habari za nyumbani, zikiwemo za mzee mkama kumtoa kwenye ukatibu na zile sharubu zimeanza kunyauka
jg unashawishiwa kutumia tiGO....
Judgement acha uongo labda una kamchina mie mbona napata na tigo
aahh siyo mimi ni naniliu huyoo Dena Amsi, tigo inasumbua mi situmii
ulivyosema jg nikafikiri jagi...!!!!
Wana wa bodi habari zenyu.
Nasikitika kuwakosa wadau wangu kwa takriban siku 4 sasa.
Masiku ya nyuma ilikua nikija hapa Nrb, sikua napata tatizo lolote la kimtandao kuipata Jf nikiwa natumia line yangu permanent ya Voda.
Cha kushangaza safari hii piga ua ngoma imedinda! Na niliponunua line ya Safaricom ndiyo nimeutibu ugonjwa.
Wadau wenza niwatakie jioni njema!
Aidha kila atakaepita hapa ndiyo mdau wangu nikusalimiae .