Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Wanaume siku hizi wamesanda sana ni mmoja kwa bahati anayeweza kumkamua demu mpaka ajisikie kashiba; siunajua mtu akishashiba hata lije pilau gani kula hawezi tenaPole aiseee, ndo wanawake hao utafikiri wamemezeshwa mbegu za kiume maana hawawezi kutulia na mtu mmoja
Haaaaaaaaa njoo Pm nikwambie lol
Mbona ume generalize Hunyu
mi nataka kuelekezwa kwa praktiko...PM si utaniandikia notsi tu
Hahaa mkuu, ktk 10, utakuta m1 au hakuna mwaminifu...tuko pabaya kuliko unavowaona watu barabarani ukiingia kwenye inbox zao unaweza zimia though mtu ukimwangalia kwa macho utajua huyu hata uume atakuwa anausoma kwenye vitabu tu.
yaani hapo kilichokukosesha imani ni nini hasa? mbona inawezekana kabisa huyo mrembo wako anazungumzia dili nyingine na sio kumegwa?
hahaaaaa, itabidi uje huku Vingunguti kiembembuzi kwa mafunzo kwa vitendo lol
mkuu hujakosea uko sahihi. Kwasababu hata kenge hawezi kuamin kama kuna hatar mpaka aone damu
Haaaaaaaa hata uume anausoma kwenye vitabu kumbe ni expert lol
Ila this applies for both men and women