Nimemrudiisha Text kwake kisha nikampgia nika muuliza then NIKACHEKA sanaaaaa!
Anadai alikuwa ana m-Text shosty wake...
Pole aiseee, ndo wanawake hao utafikiri wamemezeshwa mbegu za kiume maana hawawezi kutulia na mtu mmoja
Haaaaaaaa sasa shosty na kutokuwa fresh kufanya mambo fulani inahuuu... pole lakini
eti mambo fulani ndio nini vileee?