Kumbe nacheza uwanja mmoja na baba

wapotezee wote jifanye hujaona kitu usitake ligi na dingi yako
 
Like father like son
Hahahaha
Huyo bek3 anawafaidi
 
tumia huu uhusiano kwa faida wape makavu wakulipe pesa ya maana uwatunzie siri hapo mzee atajifunza.....penda asipende na atajutia kuso lake......... (ushauri si sheria ndugu)
 
House maid wanakuwaga ktk wakati mgumu sana huko majumbani.
 
Dah.. Yaani hii ndio ile kipa katoka halafu mpira anao Messi.. Mabinti wa kazi wanatafunwa sana.. Huu ni moja ya ushahidi kati ya mengi wanayofanyiwa hawa mabinti.. Lakini tuacheni utani wakifika mjini wanabadilika na kuvutia sana.. Duh.. MUNGU Aepushie mbali.. Pole mkuu..
 
Wote wazembe tu, kwa nini usitafute mwanamke nje na huyo Beki tatu ambae alikukubali ili kulinda kibarua chake, au we ni zege domo mkuu?
 
Uyo beki 3 kama ana ukimwi sikaua baba mama na mtoto kuna umuhimu wa beki 3 kupimwa ukimwi kabla ya kuanza kazi wengine wanaenda kuteketeza familia za watu kwa kusudi
 
Keyi zote mshua alizozipitia halafu kijana mdogo mmeshare beki tatu, pole sana.

Hama nyumba
 
Udogoni ulikuwa huli bila ya baba kukupulizia chakula na kukutafunia nyama ili ilainike hapo naona baba anakusaidia kuilainisha nyama tu. usiwe na wivu
 
Ukimletea beki 3 figisu figisu,tapangishiwa bonge la mjumba,au hata kujengewa yake na mshuwa. Umemaliza chuo,huyu dada wa nyumbani umheshimu kama dada yako/ndugu yako. Tafuta kibarua au shughuli yoyote ya kufanya.k
 
Acha umbea wewe ni mtoto wa kiume, hapo ni kumchana mshua na kumuambia ahakikishe Beki 3 anasepa. Pili ukitaka kuvunja familia yenu na kuvunja ndoa ya wazazi wako mwambie maza ako huo mchezo.
 
Udogoni ulikuwa huli bila ya baba kukupulizia chakula na kukutafunia nyama ili ilainike hapo naona baba anakusaidia kuilainisha nyama tu. usiwe na wivu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Mkuu sikujua kama una samjo samjo namna hii nimecheka sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani unampangia babako maisha? Eti ana mke! wewe utakapooa hutatoka nje?

Kama ni makosa wote mna makosa, ukimpa mimba huyo housegirl una uwezo wa kutunza?
 
Achana na wazo hill,
Waza hivi, kama huyo beki 3 ana ngoma then we, mzee, maza, pengine na madogo 2/3 hapo ndani mtakuwa mmeukwaa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…