mchorazombie
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 114
kabla hawajakujibu nikuulize hivi ni fahari kutembea na mama yako mdogo?
Mfanyie zengwe beki tatu atimuliwe...
Mnaweza weka houseboy..kama na huyo msure wako akimMendea basi kunatatizo hapoπππ
Familia ni nguzo kubwa Sana. Usiitetereshe. Jaribu kuvunga ila ukiona linakuumiza moyo,mchane mshua mwenyewe
utapata upinzani mkali kutoka kwa mzee.Pamoja mkuu nitajaribu kumuanzishia figisu figisu huyu beki 3 Ili atimuliwe tu.
kabla hawajakujibu nikuulize hivi ni fahari kutembea na mama yako mdogo?
Me naona beki akitimuliwa atafuatwa hukohuko tena kiulaini tuu,..mshua apewe makavu laiv ili ajue kwamba co siri tenaMfanyie zengwe beki tatu atimuliwe...
Mnaweza weka houseboy..kama na huyo msure wako akimMendea basi kunatatizo hapoπππ
Acha wivu mshua ni tingatinga anakuchongea roadWasalam wakuu..
Ni wiki ya tatu sasa tangu bi mkubwa asafiri kwenda kwenye msiba huko nyumbani kwao, home tumebaki Mimi, msure na mfanyakaziwetu wa ndani.
Kwa vile Mimi nimeshamaliza Chuo na muda mwingi huwa nashinda home (sina kazi) nimejikuta nikiingia katika mahusiano yamapenzi na huyu beki tatu, juzi usiku Kama kawaidayangu nilienda chumbani kwake Ila sikumkuta ikabidi nitege mingo Ili nijue huyu manzi kaenda wapi, baada ya Kama lisaa 1 nilishtuka kuona mlango wa kwamsure unafunguliwa na kale kabeki tatu kakatoka na kwenda chumbani kwake.
Niliumia Sana kuona kile kitendo Si kwa wivu wamapenzi bali kwa kile kitendo alichofanya msure na ukizingatia anamke wa ndoa (mamayangu).
Wadau naombeni busara zenu nimchane msure pekeyake kua anachokifanya sio kizuri au nimwambie na bi mkubwa?
Huwezi kujua aliyeanza nani... Ila huyo binti kiboko anaifahamu ya baba na ya mtoto... Huu ni uuaji wa wazi kabisaFamilia ni nguzo kubwa Sana. Usiitetereshe. Jaribu kuvunga ila ukiona linakuumiza moyo,mchane mshua mwenyewe
Usijaribu atakuundia zengwe la ubakaji kwa mshuaPamoja mkuu nitajaribu kumuanzishia figisu figisu huyu beki 3 Ili atimuliwe tu.
Maskini hapana...! Huyu mama wa watu tumtoe hapa, yabaki haya mabazaziFamilia yenu wote ni washenzi.. usikute hata bi mkubwa nae anatabia kama zenu...