Jambo wakuu, jioni hii hapa Mwanza tumeshudia matangazo mitaani ya mwaliko wa mkutano wa chama cha ACT kesho ktk viwanja vya shule ya msingi mbugani miongoni mwa wageni wakitaifa ni pamoja na katibu mkuu taifa Samsoni Mwigamba kwa mujibu wa matangazo
Allience for Cowards Tanzania ha ha ha wapi CCJ?
Safi sana na hongera Mwigamba,
Hii itamuuma sana mini K
we ni taahira wa akili
haa haa, yaani kuliko hata ccm?Hiki chama kimekuwa mwiba kwa Chadema sijui kwa nini.
Safi sana na hongera Mwigamba,
Hii itamuuma sana mini K
ACT ni chama makini sana cha siasa. ni mkombozi wa watanzania
we ni taahira wa akili
Hiki chama kimekuwa mwiba kwa Chadema sijui kwa nini.
Ukiona chama tawala wanasifia chama fulani cha upinzani, ujue kuna jambo..Safi sana na hongera Mwigamba,
Hii itamuuma sana mini K
Safi sana na hongera Mwigamba,
Hii itamuuma sana mini K
teh,teh,mkuu hongera sana,unanivutia sana jinsi unavyojua kujenga hoja.teh,teh
Safi sana na hongera Mwigamba,
Hii itamuuma sana mini K
Unalia nini wewe!??