falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
Mtoa mada naona ulifeli mtihani wa form two
Mtoa mada kama kiazi vile unajua unachoandika /ulichoandika kweli.Leo kwenye taarifa ya habari ya ITV wameonyesha maelfu na msafara mrefu wa magari ya wakazi wajiji hilo wakienda kumsindikiza mwili wa mwendazake alphonce mawazo kwenda hospitali ya bugando kwaajili ya postmortum .kwa maelfu ya watu tuliowaona ni dhahiri kabisa ukawa bado inanguvu sana katika ukanda huo wa ziwa.ila ccm wanatumia nguvu kubwa sana kusambaza propaganda kuwa ukawa imekufa
Ama kwa hakika leo tumepata majibu kwa macho yetu kwamba ukawa ina nguvu kanda ya ziwa
Apumzike kwa amani mwendazake alphonce mawazo
Mlishamalizna na Alshababu huko kwenu kenya?Tulia gamba,upeo wako mfupi mno
TATIZO sio ukawa ,kinachomatter hapa ni UTU uwe ukawa ama CCM
Mlishamalizna na Alshababu huko kwenu kenya?
yaaa ukawa inafurukuta bado sema bado ccm ni gari kubwa.Leo kwenye taarifa ya habari ya ITV wameonyesha maelfu na msafara mrefu wa magari ya wakazi wajiji hilo wakienda kumsindikiza mwili wa mwendazake alphonce mawazo kwenda hospitali ya bugando kwaajili ya postmortum .kwa maelfu ya watu tuliowaona ni dhahiri kabisa ukawa bado inanguvu sana katika ukanda huo wa ziwa.ila ccm wanatumia nguvu kubwa sana kusambaza propaganda kuwa ukawa imekufa
Ama kwa hakika leo tumepata majibu kwa macho yetu kwamba ukawa ina nguvu kanda ya ziwa
Apumzike kwa amani mwendazake alphonce mawazo
Hii ni dhahiri kuwa UKAWA ilishinda Mwanza, Matokeo yakabatilishwa!
Ila nililia sana, baada ya kuona vijana wamebeba jeneza la KAMANDA MAWAZO.
How can it be?
TATIZO sio ukawa ,kinachomatter hapa ni UTU uwe ukawa ama CCM
Mkuu hapo umedanganya... we sio cdm...Na Huo Ndiyo Utamaduni Halisi Wa Wasukuma Kwenye Majanga.Mie Ni Chadema Damu Na Musukuma Pure,ila Nikerwa Na Kashifa Kwa Wasukuma Hasa Wa Mwanza Baada Ya Wenje Na Kiwia Kuanguka,ile Ilikuwa Game Na Kila Mmoja Alikuwa Na Mbinu Za Kushinda Ziwe Halali Au Haramu Na Siyo Kuwalazimisha Wasukuma Wote Wawe Ukawa Au Wote Ccm,wana Utashi Na Uhuru Wa Kuamua
Mkuu tatizo lilikuwa ni mgombea wa urais wa ukawa ndo alileta kizungumkuti kwa wanachi,angesimama mwingine yeyote na lowasa na mtaji wake,uchaguzi usingewekwa wazi vile,ingekuwa kama kenya kutangazwa na kuapisha ni 3 mins,rip kamanda mawazo