Kumbe Mwalimu Nyerere bado anapiga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Mwalimu Nyerere bado anapiga!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rugemeleza, Oct 19, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. R

  Rugemeleza Verified User

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimeiona hii katuni ya Gado inasema mengi kama ikisambazwa inaweza kusaidia kidogo.

  [​IMG]
   
 2. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hiyo bakora itaanza kutumika 31 Oct 2010.
   
 3. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eeeee! Sijui kwa nini Pinda awe kwenye foleni maana amebaki kuwa mtoto wa mkulima kwelikweli
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,090
  Trophy Points: 280
  Huyo Askofu atakuwa Kilaini kama sio Kilaini basi Mokiwa!
   
 5. Elisante Yona

  Elisante Yona Senior Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 130
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Asante Ndugu,

  Lakini tusingoje fimbo ya mwalimu,yeye mwenyewe kwenye hotuba zake ametuachia bakora,nayo ni kura zetu,tuwanyime kura viongozi wabovu,

  Tusikubali kulaghaiwa na wabinafsi,wakishaingia Ikulu wala hawawajali wananchi,Tumia kura ya vizuri,Tuijenge Tanzania yenye Amani na Umoja,maendeleo mbele daima.
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  rostam naye yupo kwa foleni
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...