Idd Amini Dada alipopigana na Tanzania lengo lake ilikuwa kuchukua kipande cha ardhi toka Tanzania, yaani eneo lote toka mto kagera (pale Kyaka) hadi Mtukula. Leo nashawishika kusema alifanikiwa, na hadi sasa eneo hilo bado lipo Uganda.
USHAHIDI: Kwa sasa mtu huwezi kununua kilo hamsini za mchele pale Bukoba mjini na kuzipeleka Mtukula - Tanzania. Polisi, kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya watakunyang'anya kwa madai kuwa 'unapeleka chakula Uganda'.
Ni ajabu ambayo sitakaa niisahau, hivi ni kwa nini kama kweli nia ni kuzuia uvushaji, barriers zao zisiwe Mtukula badala ya huku ndani kabisa ya Tanzania -Kyaka?
Hawaoni kuwazuia watanzania wa Bunazi hadi Mtukula ku-enjoy what is rightful to Tanzanian ni kuwabagua?
Naomba mwongozo.
Kama ndivyo watu wa minziro,kakindo, itala, mibembe, gabulanga, kashambya, bunazi, kagera .b., kabweera,kilimilile, nshunga, ....ni waanga!
iwapo Mkuu wa Wilaya yao amaamini ni waganda, vyombo gani husika vya kutatua hilo?Kwahiyo unataka kusema maeneo ya Bunazi. Igayaza, Minziro, Byamtemba, Kagera Sugar, Mtukula na maeneo mengine yaliyo upande wa pili wa mto kagera, hawaruhusiwi kununua chakula na kuvuka nacho pale kwenye daraja au pale custome. Pole kwao. Au kwa vile wanaitwa waganda kyaka wakafikiri kuwa ni waganda. Wao ni watanzania ila tu wanajua kiganda ambayo ni lugha inayotumiwa uganda. Nadhani mtatakiwa kufuatilia kwenye vyombo husika ili walitolee maelezo kama ndivyo.
wale ni wajanja hawawezi kuuza mazao yao kwa MATAPELI wa nji hii ni bora wahesabike wako kwa M7 kabidhi eneo kwa mwenyewe ili wananchi waneemeke!!!!!!Mie naona tukabidhi rasmi eneo hilo kwa Museven kwa kuwa hao watu hawana msaada kwa Tanzania. Kazi yao kuuza kahawa na chakula cha mage do Uganda
<br />Unamaanisha<b> Wahanga!</b>
<br />Mie naona tukabidhi rasmi eneo hilo kwa Museven kwa kuwa hao watu hawana msaada kwa Tanzania. Kazi yao kuuza kahawa na chakula cha mage do Uganda
Duh!Tanzania ni kubwa aiseee!watu wanajua mpaka vitongoji!Kama ndivyo watu wa minziro,kakindo, itala, mibembe, gabulanga, kashambya, bunazi, kagera .b., kabweera,kilimilile, nshunga, ....ni waanga!