Kumbe mtangazaji wa Channel Ten Baraka Ngemba alifanyiwa figisu na bosi wake hadi kuondolewa kazini sababu ya chuki!

Natamani Salim kikeke nae aje hapa atoe hadithi yake ya channel ten. Kuna siku nilipanda Basi na mtangazaji mdada mmoja maarufu kuelekea Dodoma. Aliyonisimulia kinachoendelea kwenye hizi media unaacha kinywa wazi, kuanzia wale wanaokwenda kwa ajili ya field mpaka waajiriwa, nilimuuliza swali moja, kwa nini wewe hadi sasa unaendelea kuwepo huko? jibu nililolipata toka kwake "sina pa kwenda na ni bora nidhalilike lakini mkono wangu na wa mtoto wangu uende kinywani" nilichoka.
 
Pole sana Baraka Ngemba. Kama kweli walidhulumu HAKI yako, ngoja tufanye kitu na MUNGU atajibu sio siku nyingi, (kumpiga teke chura sio umemkomoa, bali umemuongezea mwendo). Keep cool Baraka.
 
Pole mkuu. Watu wengi sana wanayapitia haya. Bahati mbaya hii ni one way information lakini bado inafundisho. Mabos wengi Wa kibongo ndivyo walivyo. Wakiona unafanikiwa wanachukia sana. Mda mwingine inatupasa kujifanya wajinga ili mkono uende mfukoni na mdomoni.
 
View attachment 825541

Jamani duniani kuna mambo tena yasikie kwa marafiki tu ila yasikupate aisee. Aliyekuwa mtangazaji wa channel ten ndugu Baraka Ngemba a.k.a Bonge La Mtu ameandika waraka mzito kuhusiana na figisu alizofanyiwa na bosi wake orest kawai wa channel ten na magic fm naomba nisiandike sana tukachoshana tusome wote kwa pamoja then tutaamua sisi kama wananzengo nani mbaya kwenye hili asanteni. Pia naomba radhi kwa thread yangu ya mwisho nliyowahi kuitoa ikanikosesha ban kwa uongozi wa jf haya sasa nimerudi tena na nguvu mpya asanteni JamiiForums Invisible

NUKUU + SCREENSHOTS

https://web.facebook.com/baraka.nge...iPTy5IbettdWCz59ZrOUojNO1CF8OpSkR7Hyk&fref=nf

View attachment 825543


View attachment 825544
Huyu Jamaa Mkali Sana!Kuna Maboss Wapuuzi Sana!Sasa Unapomfanyia Figisu Mtu Ambaye Tayari Kajitengenezea CV ya Kutosha!Huyu Ngemba Kwa Sasa Anaweza Kuingia Media Yotote na Kufanya Vizuri!Maboss wabanieni Watu Ambao Hawajatoka Sana Kwenye Fani
 
Halafu unaweza kukuta chanzo demu, msela kazimikiwa na Dem boss nalo macho humo humo,wakati hata kufanya mapenz hayawezi yameshachoka na kisukari na macancer linaanzisha fitina linakutoa kazini au linakuua, pole Sana dogo, nashukuru ukoo wetu Ni "NADHIRI"yoyote amtendeaye dhambi mwana ukoo Ni lazima kilipwe kisasi iwe kwa jasho au kwa damu Ni lazima kilipwe haijalishi atakayelipa Ni Nani mtoto wako mjukuu au kitukuu lazima ulipe.....
 
Maandishi ya Baraka ukiyasoma kwa jicho la tatu unagundua tatizo lipo kwake kuliko kwa boss wake . Mihemko ni mingi kwenye maandishi yake ; na mpaka anamaliza kuandika hajaeleza sababu hata moja iliyopelekea ugomvi wake na boss .
Kwa maandishi yake unaiona tabia halisi ya Baraka ya kimbelembele , majungu , ukuwadi na kujipendekeza . Pia Baraka hana kipaji wala haelekei kuwa mtangazaji wala mwandishi mzuri .
Nafikiri hata hiyo kazi aliipata kwa sababu kituo anachifanyia kazi nafikiri kinatumia watu cheap . Nafikiri kijana atafute mambo mengine ya kufanya utangazaji haumfai .
Karudia dhifa mara kibao anaandika tu dhifa dhifa .. Kwa hiyo mafanikio yake yote ni kwenda kwenye dhifa
 
Hii Radio uchwara ni miaka sasa hakisikiki mkoa niliopo.Nilikua navutiwa mno na kipnd chao cha Asubuhi.Afu nasikia ni Radio Kongw....Duuh!!!.Ila na me nitoe ya moyoni,Huyu Baraka alikua ananikera mno mno mno kwenye Kipindi cha Radion cha Michezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom