Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Nyie mnadhani hata kama hiyo mimba sio yake atasema? Hiyo inaitwa KUFA KIUME!
Kwahiyo wambea tutasubiri sana...
 
namuonea huruma mke wa Katunzi... Mmewe kuandikwa mitandaoni kwamba kampachika mimba mtu mwingine.

Kwa watu wanaopebda kuandikwa na magazeti ya udaku, kuimbwa kwenye bendi, na wanawakezao hupenda wakitajwatajwa, hapo huenda analipia
 
Teh teh teh! Mtani bwana.Ivi kwanini mimba ya mama yenu ikitajwa mnakasirishwa na kughafirika sana....je ni kweli alilala na Katunzi pale double tree?

Umbeya huu...

ahahaha mtani mi sijakasirika banaah!! Hayo ya kulala na Katunzi double tree hotel hayana mashiko kwasababu sijaona picha mtani
 
Ila mtani nilikumis sijui uliendaga wapi!!ok karibu mtani jamvini,
Ile sio ya katunz ni ya chibu

mkuu chibu alimkuta shemeji ana kitumbo tayari sema kwa kuwa alikua anataka kiki ndio ikabidi akomae.
 
Sasa mtani mumfiche mtoto wakati kutwa kupost process nzima za ukuaji na urutubishwaji wake!
Zarina alipost mtumbo wake kwani ilikua inatuhuuu... Msifanye ivo.Ila nasikia Muzamir katunzi ana damu kareee mwombe Mungu isiwe kweli.

Aaaargh mtani watu walisema zari hana mimba anajifanyisha.Bahati mbaya mtoto ndio hivyo ataonekana baada ya mwaka
 
Hahaha hahahaha.. Mutoto ya taifa aaaw...

Mutoto ya Taifa..., tunamngojea mtanzania mwenzetu.Awe wa katunzi sawaa, awe wa Diamond sawaa...ila ole wao asifanane viguru na mzee wake.
 
Wale watoto wengine naona wapo kwenye academy manchester, mwingine hata sielewi labda south kwa baba yake.
Ila Zarina kiboko sio kujichokonoa kule na dildo je angeharibu kizazi je?

Wewee ni kiboko loo salutee...
Yaani imf zote upo nazo kama ndo zari vile kweli umbea raha...
Dildo tenaa looh ebu kolezeaa jamaniii
 
Nyie mnadhani hata kama hiyo mimba sio yake atasema? Hiyo inaitwa KUFA KIUME!
Kwahiyo wambea tutasubiri sana...

Hahahaaaa tutamuona tuu.
Ant enyewe alimficha mtoto wake shoga nilivyo mmbea nilitia maguu pale ila yule bi dada kiboko loooh marufuku kumpiga mtoto wake picha nikasema ngoja niende nirudi baada ya mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…