halaf anasema yupo humu naona yupo kwa I'd mpya SI unakumbuka ishu ya group nayo kaiongelea kua amemuadd group wakat walisema ukiwa na I'd mpya hakuona kujiunga group
Huyu mtu ni miongoni mwa sisi wambea wa hapa hapa sasa mtu ana chuki zake binafsi anamalizia kwa staili hiyo.
Ila ni fa.la tuu. Mimi kanitaja? Apo ni wapi nikamsome tena nimchambe mb.wa koko yy
Duh huyo nani anawashwa na jf hivyo lazima anakunika na kitu cha humu, ukweli umempitia huyoooo
yaan anashindwa kusemea humu ni mwoga
kasome kwa sinta Kuna post mdada Ana shape ya simba hapo hapo
kachambwa nifa
hhhaaa
dah wote ni ujuha huuu!!
yaan nimecheka lo,nakumbuka siie tulivyochambwaa
Haka ka mtindo ka kwenda kuchambwa kwa blog kanashamiri
Haka ka mtindo ka kwenda kuchambwa kwa blog kanashamiri
Mamy sijamuona.. ebu nipe heading.