Kumbe mimba ya Zari si ya Diamond

Nimeamini wema ndo kabeba nyota ya dai,umaarufu wa zari umepanda frm asilmia kumi to asilimia mia sababu ya kumpokonya wema dai bac
 
halow ya wifi wa taifa kuzaa mtoto wa taifa..
Huyo mtoto wa taifa anazaliwa na mtu aliye bikiriwa na kupata mimba apo apo au? Heheheeeeeeee jamani loh sijui nani aniazime mbavu zake
 
Huu uzi mtu unatakiwa uusome ukiwa na ukwaju pemben au maembe machanga. Heheheiyaaaaaaaaa
 
mie hapa ngoja nkupe...
jamani wifi etu bikira,mzuri,ana miakil ya white party
bikira ambae ana watoto wa3 wa roho mtakavituuu...alishushiwaaa Mrembo by Nature upooo...?!!
miss perfect yy wifi etu
 
Last edited by a moderator:
mie hapa ngoja nkupe...
jamani wifi etu bikira,mzuri,ana miakil ya white party
bikira ambae ana watoto wa3 wa roho mtakavituuu...alishushiwaaa Mrembo by Nature upooo...?!!
miss perfect yy wifi etu

Kwendaraaa, akili ya White Party my foot!
Ile event aliinunua Ruge tena kwa hela mbuzi tu.Unadhani kwanini bibie alikua amenuna? Alivyoona watu wengi na pesa waliyopewa ndio akachanganyikiwa.
Chezea Ruge wewe? Anacheza mziki wake nyuma ya watu, yule muhaya ana akili sana.
 
Last edited by a moderator:
mie hapa ngoja nkupe...
jamani wifi etu bikira,mzuri,ana miakil ya white party
bikira ambae ana watoto wa3 wa roho mtakavituuu...alishushiwaaa Mrembo by Nature upooo...?!!
miss perfect yy wifi etu

Hahahaaaaaa umesahau...
Zari ni mwanamke anayejiheshimu sio kama wema sepetu.
Zari ana akili ya biashara akiwa na domo sio kama wema sepetu kazi yao ilikuwa kujifungia ndani..
Pyeeeeeeeee anajisheshimu kwa lipi aso na haya binti yule watoto washakuwa wakubwa lakini haishi vituko ni kupiga picha za ajabu na domo kuweka IG kama hazina ya watoto baadae wajivunie michepuko ya mama yao.
 
Last edited by a moderator:
Jana hiyooooo

Ndimu zinahitajika atiiiii
 
Attachments

  • 1434051155619.jpg
    27 KB · Views: 235
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…