Kumbe mh Zitto nae yumo...

ngoma ikilia sana mwisho wa siku ...............................................................................................
 
Cdhani ni kama ni mtazamo huo.lakini tusihukumu. wakti mwingine picha hutoa tafsiri tofauti na hali halisi muda ilipopigwa. Unaweza kuonekana unasinzia kumbe wakati ule uliblink kidigo jicho- tayari unaeleweka vibaya. Zitto anacheza rhumba kistaarabu, wengine wangekumbatia,etc,etc
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…