kumbe mgwanda yalianzia huku?

Ingekuwa ni sasa hivi bila shaka huyu angepigwa na kitu kizito chenye ncha kali au policcm wange mmwangosi bila kujua kuwa baadaye ndiye angeleta ukombozi wa taifa hili.

 
Ndio mkuu huko ndiko yaliko anzia magwanda na maandamanopia.umesahau ule usemi kuwa historia hujirudia?.
 
History repeats itself in accordance to the struggle of mankind!
 
Ingekuwa ni sasa hivi bila shaka huyu angepigwa na kitu kizito chenye ncha kali au policcm wange mmwangosi bila kujua kuwa baadaye ndiye angeleta ukombozi wa taifa hili.

View attachment 77511
Kwani walimwacha sasa, Mkapa aliona namzingua akaamua kumumaliza kimya kimya...Chezea mafisadi wewe kuna vitu vizito vyenye ncha na kuna kimya kimya ya kimya kimya muulize Mwakyembe....
 
huwa natafuta picha za Nyerere akiwa amevaa maguo ya kijani na njano...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…