Kumbe mapinduzi hayakuanza leo!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,369
Kumbe mapinduzi yanayofanywa kwa serikali hayakuanza leo. Historia inaonesha kwamba, mapinduzi ya awali kabisa yalitokea miaka 2800 kabla ya kuzaliwa kwa Yesu.

Wananchi kutoka mji wa Lagash, katika Sumeria waliipindua Serikali ya Mabwanyenye ambao walikuwa wanajaza mifuko yao bila kujali maslahi ya wananchi na kila siku walikuwa wanapandisha kodi.

Najua mtauliza Source, Bofya hapa: Sumerian Inscription Umma and Lagash - Babylonia

 
Kwa hiyo unachopendekeza ni nini? Acha kuchochea uhaini kwa kutumia historia tusiyoihitaji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom