Msiwe wapumbavu. Hizo jersey mtu anavaa tu si lazima awe team husika. Mi nina jersey ya Simba na ni Yanga damu. Jersey ya Simba nlipewa na rafiki yangu na kuna kipindi naivaa. Ali Kamwe ni Yanga wa miaka mingi na inajulikana. Ila kwenye uchambuzi alikuwa anajitahidi kubalance kuwa neutral. Acheni kuwa wapumbavu.
Manara hataweza mziki wa hao vijana wadogo. Enzi za Manara zimefikia ukingoni. Mambo ya kutumia tu mdomo kwisha. Professionalism inaanza kuchukua nafasi kwa timu za Kariakoo