Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,010
- 74,644
Hivi kama yeye anaishi Muleba ndani ya nyumba ina kiyoyozi na anatengeneza mkwanja wa nguvu nawe waishi Dar ila kambi ya fisi manzese na hata kesho huna hakika nayo, nani mjanja kati yenu?Ujaanja wote unaishi muleba?
Sio lazima unijibu, ila tatizo la fikra za aina hiyo wanalo wengi na ndio liletalo unasikini miongoni mwa watu