mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,341
- 9,308
Jana nimepakia zangu unga nipo na lory langu nakatisha barabarani mara paa chuma ikazima katikati ya bara bara mara paa vingoraa nikasema inakuwaje
Nakuta naam riwa weka gari pembeni nikasema wakuu samahanini gari yangu imeeingiza mis nipen sekunde 40 kweli chuma ikawaka nikaweka pembeni
Kuja kuuliza msafara ni wa nani? Najibiwa ni wa makamu wa raisi dah😓😓
Kwakweli ccm jitafakarini mmepoa sana hamna vibe kiufupi mmefeli pakubwa
Bora hata comedian za tiktok anaweza kustua watu kwa ujio wake dah nimelia sana
jana mpaka bos akaniambia usiendelee na safar usije ukapata ajali nimsikiliza
Wote tusemee ameen