1. Majizzo ana 40% kwahyo akisema kampuni ya kwake hakuna tatizo sababu ndio ana hisa nyingi.Mara kibao anasema au wew hujawahi msikia? Mm yangu yapo sawa ndio maana napata mda wakupuyanga na huko kusaka ya wengne
Kuna VPN inatumika sana Uganda kwa sasaTanzania bhana! Magufuli weka tozo kwenye mitandao naona vijana hawana kazi za kuzalisha mali
Hapo kwa shigongo na mimi ndo sijaelewa kabisa1. Majizzo ana 40% kwahyo akisema kampuni ya kwake hakuna tatizo sababu ndio ana hisa nyingi.
2. Huyo mwingine mwenye 40% anaweza miliki na akawa silent partner asijihusishe popote mradi mzigo wake unasoma bank!.
3. Kampuni inamilikiwa na Familia yawezekana kimaamuzi wameamua Majizzo awe mmiliki mkuu/Msemaji/Muongozaji.
4. Yawezekana hao wengine wameandikwa kama geresha kupoteza boya, ukiwa na biashara ungeyajua hayo!.
Pa maswali ni hapo kwa shigongo!
Huu ni mfano pia: JF kuna mtu anaitwa Mike Mushi nae ni JF founder lakini Media zinamtaja zaidi Maxence Mello.
Hv majizo kumbe siyo jina rasmi. Anaitwa nani jina lake rasmi?Hayo majina ya hao akina majizo yanonesha ni wa asili ya either Burundi, Rwanda au DRC Jean Claude, Antoine, Ciza sijui ni Chiza aisee Bongo wakimbizi ni wakutosha
Umechanganya chief maisha club ilikuwa ya mama mmoja anaitwa helen sweya ambaye alikuwa marketing manager wa tbl enzi hizo majizo wanadai alikuwa mtu wake wa pembeni tu ila nahis majizo alitumia mwanya ule kutoka nayeye kivyake ila kwa kuendelea kutumia jina la emasterEntertainment Masters(wenye E-FM,TV E,maisha club n.k) ni kampuni ya familia ya hao kina Ciza.Hakuna cha kushangaa hapo.
baki kuhesabu hisa tuhalafu kwanini kajiachia sana? Mbona jina la huyo dada na yeye moja kama limeboresha? Au ameweka tu kuonyesha wapo hisa?
Tatizo lako hujui halafu hutaki kuelemishwa dogoBaki ku comment tu