Kumbe mademu bongo move wanalika kilahisi tu

Kumbe mademu bongo move wanalika kilahisi tu

Kwaiyo ata uyo demu wa kwene swimming sjui swimming ila akusema swimming bana na ushamtaja....na pesa huna za kuwahonga umekuja na stori tu ili wadangaji wa jf wakushobokee na hakika watakuja
Mbona nishamgonga sana, pia hii biashara ya ubuyu na choya iko poa inanipa jeuli mjini kwa sababu nanunua gunia 5000 huko kijijini nikifika mjini gunia 50000 hadi 70000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nishamgonga sana, pia hii biashara ya ubuyu na choya iko poa inanipa jeuli mjini kwa sababu nanunua gunia 5000 huko kijijini nikifika mjini gunia 50000 hadi 70000

Sent using Jamii Forums mobile app
You sounds like u have nothing kabisa hauna jeuri yoyote ya pesa mujini! Unakutana na manzi unaanza kumwambia habari za magunia sjui badala ya kutumia pesa.
 
Millioni 2 × 6 jumlisha na hotel let's say took laki 2 × 6
Jumlisha na launch pia drinks kidogo

Mkuu hongera sana na Shukrani Kwa awamu ya 5 chini ya muheshimiwa raisi wa wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapigwa parefu sana mzee ngoja leo nikupe mbinu ambayo wenzako tunatumia
Unamfata dm unaomba game(sio kutongoza) akiuliza utaweza mlipa kubali yes
Atakuuliza kias gan we mtajie 200 au 300 inategemea na ukali wake
Atakumind kuwa umemdharau na hana hadhi hiyo we mwandikie msg ya kumuomba radhi sana kisha mwambie ikitokea siku anashida na hiyo hela akuchek then mkaushie
Hata kama ni baada ya mwaka kuna siku atapta shida na atakukumbuka tu atlast utajilia kirahisi
Na nakupa hotel ya kuwala usiende expensive kujiumiza
Wapeleke pale Autriums ya Shigongo mandhari yake iko poa na very secretive[emoji120]
Ukifanikiwa nishukuru[emoji120]

Da inaonekana ww ni bonge la baharia[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom