Kumbe Lowassa ni mtakatifu!

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,863
5,694
Natubu kwa muumba matusi yote niliyomtukana Lowasa eti tuu kwasababu alijiuzuru uwaziri Mkuu.

Kumbe Lowasa sio fisadi ni mzalendo wa kweli mchapa kazi kipenzi cha watu.

Alijiuzuru kutokana na matatizo ktk wizara ileile ambayo prof. Muhongo na katibu Mkuu wake
Maswi waliwajibishwa na bunge.
Lakini muhongo na Maswi wote wamerudishiwa vyeo vyao na kuendelea kula maisha.

Tunaweza shindwa kumrudishia Lowasa cheo chake ila hata kutambua tuu kuwa ni mtakatifu hatuwezi?

Itakuwa ni double standard jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.

Sasa naamini Lowasa; Muhongo na Maswi hawakuhusika ktk kashfa zilizo wafanya wajiuzuru.

Waliwajibika ili kulinda serikali zao zenye miradi yao pale wizara ya nishati na madini.

Hivi kwa akili za kawaida inawezekanaje watu waende Bank pale Stanbik wachukue mabilioni halafu wasionekane na majina yao yasijulikane?

Hawa sio watu Wa kawaida ni majini watu .Na ndo mana Lowasa alisema Richmond ni mradi Wa wakubwa;

Wezi Wa namna ya Richmond; na Escrow huwa hawaonekani; hawakamatiki na hawa shitakiki kabisa.

Tusubiri tuone; Muhongo na Maswi tayari washapewa ulaji wao bado Lowasa kurudishiwa cheo chake.
 
Lowassa alijiuzuru kwa makosa ya Muhongo?? Wee puuumba kabisa weee!!
Inaonekana enzi ya N. Kalamagi (ambaye angepewa ukatibu mkuu kiongozi kama EL angeshinda) ulikuwa bado unavaa daipaz wewe
 
Vyombo vyetu vya usalama pia haviko huru, haiwezekani ushenzi wote huu unofanyika wahusika wasijulikane
 
Natubu kwa muumba matusi yote niliyomtukana Lowasa eti tuu kwasababu alijiuzuru uwaziri Mkuu.

Kumbe Lowasa sio fisadi ni mzalendo wa kweli mchapa kazi kipenzi cha watu.

Alijiuzuru kutokana na matatizo ktk wizara ileile ambayo prof. Muhongo na katibu Mkuu wake
Maswi waliwajibishwa na bunge.
Lakini muhongo na Maswi wote wamerudishiwa vyeo vyao na kuendelea kula maisha.

Tunaweza shindwa kumrudishia Lowasa cheo chake ila hata kutambua tuu kuwa ni mtakatifu hatuwezi?

Itakuwa ni double standard jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.

Sasa naamini Lowasa; Muhongo na Maswi hawakuhusika ktk kashfa zilizo wafanya wajiuzuru.

Waliwajibika ili kulinda serikali zao zenye miradi yao pale wizara ya nishati na madini.

Hivi kwa akili za kawaida inawezekanaje watu waende Bank pale Stanbik wachukue mabilioni halafu wasionekane na majina yao yasijulikane?

Hawa sio watu Wa kawaida ni majini watu .Na ndo mana Lowasa alisema Richmond ni mradi Wa wakubwa;

Wezi Wa namna ya Richmond; na Escrow huwa hawaonekani; hawakamatiki na hawa shitakiki kabisa.

Tusubiri tuone; Muhongo na Maswi tayari washapewa ulaji wao bado Lowasa kurudishiwa cheo chake.
Lowassa ushahidi ulitosha.
 
Kwani Lowassa yy ni mtu mdogo?
 
Back
Top Bottom