Hata mimi nimesikia hivyo hivyo ikiwezekana iwe Moro kabisaAnkal anaingia mjini na kuuacha uzee chalinze.........nasikia wazee wa chalinze wameandamana uzee uishie mikese huko sio chalinze!
kutoka chalinze kuja DAR hamna mzee wote babe tu. kuanzia chalinze na kuendelea huko sijui mikese,msata ndio kuna wazee....