Kumbe kuna ndagu za utajiri rahisi na zisizoweza kudhuru mtu sharti ni kuwa na upendo kwa watu tu!

Mwamba achukue ushauri wako.
Kuhusu utajiri wa kufukuliwa mitaro nimeusikia ila kuna dogo hapa mtaani kwangu kipindi naanza kujenga alikuabananibeba sana na boda yake siku nikienda kwa daladala sasa dogo kaja kuwa wamoto sana Kasambaza bajaji kama 9 now na ana kosta 2 hizi civilian zote pamba. Siku moja alikuja ofisini akataka tuwe na muunganiko fulani aweze kufanya biashara ninayofanya nikampa maelekezo lakini nilihitaji kujua namna ya yeye anavyopata pesa ili isijeniletea matatizo baadae, dogo akaniambia mungu kafungua milango ya baraka sikuamini kwa muda mfupi kweli maendeleo ya fasta nikawa na langu kichwani.

Siku moja nipo home katika stori na jirani wakatoa malalamiko mtoto wa fulanibkafanyiwa mchezo mbaya kuja kujua aliefanya huo mchezo ni yule dogo dah nikaona kazingua baadae napewa stori ndio michezo yake anahonga vijana anawafira alafu habari zinavuja mtaani ndio anapata pesa lile swala liliniumiza kichwa kuna mzee akanambia dogo anakoelekea masharti yatamgeuka atakua anafirwa na anafira yaani nikazidi kumuonea dogo huruma na anavyojiweka unaona kabisa soon ataanza kuliwa maana muda mwingi anakua na vijana wenzake kwenye gari yake na wanajiachia sana ila ndio hivyo now anawapakua wenzake anapata mkwanja na nilazima siri ivuje sio mambo ya kisiri siri
😅😅Haya mambo yana ujinga sana
 
Ni hatari sana. Tutafikaje kwa Mungu?
 
Duuh ngoja nikomae na umaskin kama ndo hiv!
Mwamba achukue ushauri wako.
Kuhusu utajiri wa kufukuliwa mitaro nimeusikia ila kuna dogo hapa mtaani kwangu kipindi naanza kujenga alikuabananibeba sana na boda yake siku nikienda kwa daladala sasa dogo kaja kuwa wamoto sana Kasambaza bajaji kama 9 now na ana kosta 2 hizi civilian zote pamba. Siku moja alikuja ofisini akataka tuwe na muunganiko fulani aweze kufanya biashara ninayofanya nikampa maelekezo lakini nilihitaji kujua namna ya yeye anavyopata pesa ili isijeniletea matatizo baadae, dogo akaniambia mungu kafungua milango ya baraka sikuamini kwa muda mfupi kweli maendeleo ya fasta nikawa na langu kichwani.

Siku moja nipo home katika stori na jirani wakatoa malalamiko mtoto wa fulanibkafa kazingua baadae napewa stori ndio michezo yake anahonga vijana anawafira alafu habari zinavuja mtaani ndio anapata pesa lile swala liliniumiza kichwa kuna mzee akanambia dogo anakoelekea
 
Kuna kijana mmoja hpa mtaani kwetu alikua ananyoa Soloon ya kawaida kabisa

Gafla bin vuuu dogo mambo ylimnyookea...alinunu nyumba 2 hapo mtaani na akatoa pesa cash
Watu wakaanza kujiuliza kijana kaokota mawe nini mgodini..lakini Cha ajab mbona hajwahi kusafiri tupo nae hapa hapa..

Kumbe dogo alienda Kwa mtaalam akifukuriwa mtaro..pesa inaingia ......Yani akikukuta mtaani anaweza akakupa hta 500k umchezee tope...

Wazee wa kitaa wakamtimua kitaani ashv sijui yupo huko Dar...

NB: Tafuta pesa iliyo halal vijana acheni njia za mkato...
Tatizo la ushoga ni pana Sana....vijana fanyeni kazi acheni njia za mkato..
 
Kufukuliwa, ! Hadi lini?
 
Mwamba achukue ushauri wako.
Kuhusu utajiri wa kufukuliwa mitaro nimeusikia ila kuna dogo hapa mtaani kwangu kipindi naanza kujenga alikuabananibeba sana na boda yake siku nikienda kwa daladala sasa dogo kaja kuwa wamoto sana Kasambaza bajaji kama 9 now na ana kosta 2 hizi civilian zote pamba. Siku moja alikuja ofisini akataka tuwe na muunganiko fulani aweze kufanya biashara ninayofanya nikampa maelekezo lakini nilihitaji kujua namna ya yeye anavyopata pesa ili isijeniletea matatizo baadae, dogo akaniambia mungu kafungua milango ya baraka sikuamini kwa muda mfupi kweli maendeleo ya fasta nikawa na langu kichwani.

Siku moja nipo home katika stori na jirani wakatoa malalamiko mtoto wa fulanibkafanyiwa mchezo mbaya kuja kujua aliefanya huo mchezo ni yule dogo dah nikaona kazingua baadae napewa stori ndio michezo yake anahonga vijana anawafira alafu habari zinavuja mtaani ndio anapata pesa lile swala liliniumiza kichwa kuna mzee akanambia dogo anakoelekea masharti yatamgeuka atakua anafirwa na anafira yaani nikazidi kumuonea dogo huruma na anavyojiweka unaona kabisa soon ataanza kuliwa maana muda mwingi anakua na vijana wenzake kwenye gari yake na wanajiachia sana ila ndio hivyo now anawapakua wenzake anapata mkwanja na nilazima siri ivuje sio mambo ya kisiri siri
Kuna mmoja utajiri wake ilikuwa ni kutembea na mke wa mtu na mwenye mke lazima ajue na jamaa analipa. Akisha lipa faini ya ugoni basi kibunda kinaingia kama chote. Siku akajichanganya wakamfumania wakamuua
 
Cha kufanya wewe usiende kwa huyo mganga wake kuchukua ndagu, cha kufanya hapo fata hayo mashart

Usimdhurumu mtu, saidia watu, usimwage damu ya mtu , kuwa mcheshi, usiwe mtu wa visasi yaani yale mazuri yote uliyoyataja hapo chini , ishi nayo Kwa mwaka mpaka miaka miwili alaf uje kutupa mrejesho

M/Mungu uwa anazawadi kwa watu wema
 
Back
Top Bottom