Tumempoteza mwanachamaššæāāEbana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu.
Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya.
Siku nikaamua kuchukua maamuzi magumu na nikakata ile chain ya wale washkaji na sasa ni miezi mitatu sijagusa pombe.
Faida nilizozipata tangu niache pombe ni pamoja na kupata muda mwingi kuwa na familia yangu,afya ya akili inakua sawa muda wote,ufanisi ktk shughuli zangu za kila siku pamoja na kufanya saving ya kipato changu.
Asanteni
Poleni sana kwa kweli.Tumempoteza mwanachamaššæāāView attachment 3087369
Hiki ndio kinachoshangazaAjabu ile pesa ya kuamkia na kulala nazo hutaiona imebaki kokoteš¤£š¤£
hudhuni kubwa sana kumpoteza mwanachama muadilifu kama uyuTumempoteza mwanachamaššæāāView attachment 3087369
Umeandika kilevi levi mwandiko mbayaaaaEbana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya.
Siku nikaamua kuchukua maamuzi magumu na nikakata ile chain ya wale washikaji na sasa ni miezi mitatu sijagusa pombe.
Faida nilizozipata tangu niache pombe ni pamoja na kupata muda mwingi kuwa na familia yangu,afya ya akili inakua sawa muda wote,ufanisi katika shughuli zangu za kila siku pamoja na kufanya saving ya kipato changu.
Asanteni.
Soma Pia: Nimetengwa na marafiki baada ya kuacha pombe
Kwa miezi mitatu Umejitaidi Ila bado endeleza maombi kwa Imani yako maana niliwai kukaa miezi 7 bila kuweka pombe mdomoni na nilimshukuru Sana MUNGU nikasahau kuwa Shetani yupo kazini kila wakati.. Ikatokea Harusi ya bro sasa kuanzia send off mpaka harusi daaaaaaa nikajikuta nimerud kundiniEbana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya.
Siku nikaamua kuchukua maamuzi magumu na nikakata ile chain ya wale washikaji na sasa ni miezi mitatu sijagusa pombe.
Faida nilizozipata tangu niache pombe ni pamoja na kupata muda mwingi kuwa na familia yangu,afya ya akili inakua sawa muda wote,ufanisi katika shughuli zangu za kila siku pamoja na kufanya saving ya kipato changu.
Asanteni.
Soma Pia: Nimetengwa na marafiki baada ya kuacha pombe
Alcohol free since 01/01/2024.Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya.
Siku nikaamua kuchukua maamuzi magumu na nikakata ile chain ya wale washikaji na sasa ni miezi mitatu sijagusa pombe.
Faida nilizozipata tangu niache pombe ni pamoja na kupata muda mwingi kuwa na familia yangu,afya ya akili inakua sawa muda wote,ufanisi katika shughuli zangu za kila siku pamoja na kufanya saving ya kipato changu.
Asanteni.
Soma Pia: Nimetengwa na marafiki baada ya kuacha pombe
Kwakweli huwa ni maajabu makubwa.Ajabu ile pesa ya kuamkia na kulala nazo hutaiona imebaki kokoteš¤£š¤£