Kumbe kizungu rahisi hivi

Wasanii wa bongo wengi shule hawana
 
Matarajio yao kuwa msanii wa kimataifa, hawapendi kumiga mpoto
 
Kizungu si lugha yetu ya kuzaliwa nayo, nashangazwa watu kupendelea kuitumia huku wakijua hawana ufahamu mnzuri wa hiyo lugha. Mtu umesoma chini ya mti unataka kung'ang'ania kutumia kiingereza si kujiaibisha huku.
 
Si kosa lake wadau.
Huyo demu aliachushwa shule kidato cha pili pale IGUNGA SECONDARY baada ya kujazwa mimba na muuza maji ya mkokoteni.
 
Hapo alikuwa hajatupia bia, ndiyo maana imekuwa lugha gongana!!
 
Kwani kalazimishwa kutumia iyo lugha???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…